FOREVER GENTLEMAN'S PRIDE ni aftershave yenye moisturizer kubwa mno iliyotokea kwenye jani la aloe vera ikiwa na sifa ya cooling kwenye ngozi, ni aftershave bora sana kwa ngozi yako hususan kwenye shingo na usoni kutoka vipele baada ya kunyoa, hii ni kwakuwa ngozi ni kavu na nywele hujisokota ndani ya ngozi, itumie hii kuongeza unyevu na baridi nywele ziote kwa ustadi wake