Forever alpha e factor inazindua maingizo ya vitamin A, E na C kwenye ngozi yako ambazo ni anti oxidants nzuri sana kwenye ngozi kama umeathirika na miyonzi au kemikali, retinyle pelmitate ni muhimu sana kurudisha asilia ya ngozi kuwa ya mvutiko (elasticity) na ndio chanzo cha kuondoa michirizi inayotokea baada ya kuongezeka kilo. tafadhali fika ofisini kwetu au tupigie delivery ipo074XXXXXXX