tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Health & Beauty
  3. Skincare
  4. Jojoba Oils
  5. Kuu Jojoba Oils
Dar es Salaam, Kinondoni
2 views

Fanya Uso Wako Uwe Unateleza Na Kung'aa Zaidi

+1
Unisex
Gender
Skincare Tools
Type
Forever Living
Brand
Body
Skin Area
Sample Size
Size
Store address
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar Es Salaam
Open now
• Mon - Sat, 08:00-21:00
Habari, leo naitambulisha skin care soap muhimu sana kwenye ngozi yako, najua watu wengi sana wamekuwa wakitumia gharama kubwa sana kuifanya ngozi yao especially usoni iwe inamvuto mkubwa na wenye kuteleza, sasa wengi wanafeli kwa kutafuta gel na lotion tofauti tofauti ambazo zingine huwa zinareact na ngozi mwishowe kuathirika na vipele au chunusi usoni, sasa tumekurahishia, tumekuletea sabuni hii ina ingridients zote ngozi yako inahitaji, imetengenezwa na aloe vera kwa wingi kwa ajili yakuleta unyevu kwenye ngozi ikichanganywa na mafuta ya argan, jojoba na matango hivyo sabuni hii ni imara sana unapotumia kuogea kwakuwa hauhitaji kutumia mafuta sana yenyewe inatosha ukiogea inaacha unyevu mwingi mno kwenye ngozi, ni tiba sahihi ya chunusi na harara na faida kuu yake ni kuwa ina harufu nzuri sana na inaukubwa wa size nzuri hivyo inakufanya unufaike na vitu vingi.
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • Inspect the item and ensure it's exactly what you want
  • Make sure that the packed item is the one you've inspected
  • Only pay if you're satisfied