Mafuta ya nazi yaliyopatikana kwa kukamua machicha ya nazi (Coldpressed) bila kupitishwa kwenye moto na hivyo kubakia na virutubisho vyake vyote. Yanafaa kupaka mwili, nywele, kupikia na kunywa pamoja na kusafishia kinywa.
120mls = Tsh. 6,000
250mls = Tsh. 12,000
500mls = Tsh. 20,000
1litre = Tsh. 35,000
5litres = Tsh. 150,000
20litres = Tsh. 550,000