Imethibitishwa kwa uhakika na SABS 636Imepimwa kwa uhakika kupambana na vijidudu visivyoonekana,ni salama kutumia haina viambato vyenye kuchubua wala hatarishi,kuzimulia 1kati ya 10.kiwango cha kuua vijidudu cha hospital,kuzimulia 1 kati ya 50kiwango cha kuua wadudu viwandani na majumbani na kuondoa harufu.