Ni laini na ina harufu nzuri na hainati inasambaa yenyewe,inapokutana na maji yana harufu ya kuvutia inadumu kwa mrefu hayaingiliani na marashi ya Cologne wala pacyumu huzuia ukavu na kukatika kwa ngozi baada ya kuoga ngozi huwa lain na inakingwa dhidi ya mabaka ya mafuta