TIMBERLAND (TIMZ) OG
Tembea kwa kujiamini ukivaa viatu vya ubora wa hali ya juu vinavyochanganya uimara, starehe na muonekano wa kipekee.
Sizes: 40, 41, 42, 43, 44, 45
Bei: TSh 130,000 tu
Chagua ubora. Chagua Timberland OG. Muonekano wako unaanza na viatu unavyovaa!
Wasiliana nasi kuagiza sasa. Tunafanya usafirishaji popote Tanzania.