Vitolize ina madini ya zink na calcium kwa wingi ,imetengenezwa na mbegu za saw palmetto, pumpkin na pygeum zote zikiwa ni botanicals, hivyo zikiwa na nguvu sana kutatua matatizo ya tezi za kiume kutanuka ukubwani, tezi hutanuka paramoja, na inapotokea mara ya pili ndo tatizo la saratani ya tezi dume hutokea