Description
Honey is an excellent source of energy, vitamins, minerals and nutrients essential for a healthy body. Honey with Ginseng is good for digestive health as well as for increaasing vitality. Strengthens immune system, improves skin health
Increase sexual drive for men and delay in Ejaculation
Ginseng ni mmea wenye nguvu sana, na unapatikana barani asia maeneo kama u china, Taiwan na maeneo kama Thailand , myanmar (burma) ginseng inasifa nyingi ila leo nimekuletea hii ambayo imechanganywa na asali , hii ni balaa na nusu so kwa wale ndugu zangu wanaowahi kufika kilele cha mlima sinai basi hapa pahala pakee siyo tu upungufu wa nguvu za kiume bali hata kwa maradhi ya kisukari, pressure, pia huweka mwili sawa na kuua vimelea vya magonjwa tumia leo ujionee tofauti.