Cctv security camera ni kamera nzuri sana ambayo inasehemu ya kuweka laini na memory card pia hivyo utachagua uunganishe na wi-fi au laini ya simu kisha utaunganisha na simu yako kwa kudownload app yake kisha utakuwa na uwezo wa kuona matukio hata ukiwa mbali camera hii inauwezo wa kukaa na chaji pia kwa siku tatu hadi tano