Online orders & delivery 🚚
Mikoa yote Tanzania mzigo wako unapata kwa uaminifu mkubwa
Open now
• Mon - Sun, 09:00-18:00
Taa ya kujizungusha ndio hio inazunguka pande zote kwa kutumia rimont yake taa inatumia sola yake inacharge asubuhi inawaka jioni taa mwanga mzuri sana agiza nyingi upate punguzo la bei