Hii ni spy camera ambayo iko muundo kama wa chaji ya simu pia unaitumia kuchaji simu kabisa na inachaji simu kabisa lakini kwq ndani ina camera isiyo onekana kiurahisi camera yake ina quality nzuri pia unaweza unganisha na simu ukaona kupitia kwa kudownload app yake pia inasehemu ya kuweka memory card kwaajili ya kuhifadhi matukio