Light Bulb Camera, Camera ya usalama isiyo na waya ina tumia WI-FI, Camera ya nyumbani na ofisini yaani ni indoor inatoa HD 3MP katika screen nzima na ina shughulikia kila kona ya nyumba pia inapogundua hatua yoyote kwenye screen inatuma ujumbe wa tahadhari kiotomatic kwenye program yako ya Simu unaweza pia kuplay clip ya video ya tahadhari inatobadilika ili kuangalia matukio uliyokosa. Ina uwezo wa kuona kwa angel 360° na inato video nzuri na kutunza matukio yote kwenye memory card