Cctv camera hii inasehemu ya kuwekea laini hata ukiwa huna wifi unaitumia ni nzuri sana inakamera mbili moja inazunguka kuona pande zote nyingine imefocus na eneo uzika inataa pia na quality yake ni kubwa sana
Bei ni ya ofa laki na hamsini tu ushindwe wewe