Cctv security bulb camera camera hii inazunguka nyuzi 360 unaconnect na wifi kisha unakua na uwezo wa kuona matukio hata ukiwa mbali kupitia simu yako pia inasehemu ya memory na unaweza kuunganisha na clouds storage ukawa unarekodi matukio mda wote kisha unayaangalia baadae ni nzuri sana bei ni elfu 65 tu