Full HD Security Camera za kisasa, ni ndogo kuweza kuiweka popote.
-ina tumia internet ya Wi-Fi kutuma picha popote ulipo uone kinachoendelea,
-unaweza kufunga juu kwenye ukuta au roof,
- inaweza kutumika na umeme wa solar pia
-uwezo wa kuona hata kwenye giza taa zikiwa zimezimwa.
-inatumia waya wa USB kama power supply
.
au bonyeza chini hapo kuwasiliana direct meseji au kupiga simu