Cctv camera dual lens ptz camera ni camera yenye betri kubwa sana ambalo linaweza kutunza chaji mbaka siku tano pia camera hii unaweza tumia simcard laini ya simu na quality yake ya picha ni kubwa sana pia unauwezo wa kuona kupitia simu yako ukaona matukio live kabisa hata ukiwa nje ya nchi