Camera ya Solar 4G Yenye Lenzi 4 - 20MP, Simcard, Alarm, Audio
Camera hii ya kisasa ni ya solar, inafanya kazi bila umeme wala WiFi. Ina lenzi 4, resolution 20MP, na audio mbili – unaweza kuongea na kusikia moja kwa moja.
Inaunga line ya simu (4G simcard), hivyo unaweza kuitumia kokote. Ina alarm ya ndani, motion detection, na night vision kwa ulinzi wa saa 24.
Ni IP66 waterproof, inahifadhi video kwenye memory card hadi 128GB au Cloud. Inafaa kwa nyumba, shamba, duka, ofisi, n.k.
Modeli: X29N
Tunatuma mikoa