Camera nzuri sana ina umbo la bulb unaconnect na simu unaona matukio yote hata ukiwa mbali kwa ku connect direct na wifi ya nyumbani au ofisini pia camera ina app yake ambayo itaidownload kwenye simu yako na kui connect na camera kisha hata ukiwa sehemu tofauti utaona kila kitu karibu sana we deriver in time