Bulb cctv camera ni camera ambayo inaumbo la bulb una connect na simu kisha unaona taarifa hata ukiwa mbali kwakutumia bando la wifi unayo unga na camera pia inasehemu ya kuweka memory kadi ambayo itakufanya uweze record na kuhifadhi matukia yote ya video na sauti ni nzuri sana kwani iko kama bulb hivyo itakuwa vigumu sana kugundulika kama ni camera