Kamera ya ulinzi inayojificha kama bulb ya kawaida Inatoa picha ya 1080P na lensi mbili kwa mwanga mpana Inasaidia kuona usiku na mchana Ina mawasiliano ya sauti pande zote mbili Unaweza kuzunguka kamera kwa kutumia app Inatumia WiFi ya 24G na pia inaweza kufanya kazi bila net kwa umbali wa hadi mita nne Inahifadhi kwa cloud au memory card hadi GB 128 Inafungwa kwenye soketi ya kawaida ya bulb aina ya E27 Inafanya kazi na Android na iOS App yake ni rahisi kutumia Bora kwa ulinzi wa nyumba ofisi au duka lako