1. Kuuza viwanja vilivyopimwa vinavyomilikiwa na kampuni.
2. Kuelekeza na kutoa elimu kwa wateja kuhusu umuhinu wa viwanja.
3. Kushawishi wateja kununua viwanja.
4. Kupeleka wate site kwenye viwanja na kuwaelezea kuhusu miradi
Requirements & Skills
1. Ujuzi na Uzoefu katika Mauzo
2. Ujuzi katika ushawishi na utoaji elimu
3. Muonekano mzuri na nadhifu kwa wanaume na wanawake.
Minimum Qualification Requirements
1. Elimu ya kidato cha nne / college
2. Elimu ya kidato cha sita
3. Elimu ya chuo kikuu
Minimum Experience
1 year
1. Commission ni uhakika kwa wataoweza kuuza zaidi.
2. Commission ni uhakika kwa wataoleta wateja na wakanunua viwanja.