tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Services
  3. Rental Services
  4. Cars Services
Dar es Salaam, Kinondoni, 2 days ago
116 views

Magari Ya Kukodi/ Car Rentals

+1
RHOND'S COMPANY LIMITED
Company Name
Vehicles
Type of Rented Item
Yes
Day-to-Day Rental Services
Yes
Round-the-Clock Service
RHOND'S COMPANY LIMITED Karibu kwenye huduma zetu za kukodisha magari(car rental), ambapo tunakuhakikishia usafiri wa uhakika na wa kuaminika. Tunatoa magari ya kisasa kwa bei nafuu na huduma bora kwa wateja wetu wote. Tunatoa: Magari ya Aina Zote: Kuanzia magari madogo, magari ya familia hadi magari ya kifahari. Viwango Bora vya Kodi: Bei zetu ni shindani na nafuu kulingana na bajeti yako. Huduma ya 24/7: Tupo tayari kukuhudumia muda wowote, mahali popote. Usalama: Magari yetu yote yanapitia ukaguzi wa mara kwa mara ili kuhakikisha usalama wako. Manufaa ya Kukodisha Nasi: Urahisi wa Malipo: Lipa kwa njia unayopendelea, ikiwa ni pesa taslimu, kadi ya benki au kupitia simu. Huduma ya Haraka: Utapata gari lako haraka bila usumbufu. Gari Safi na Zilizo kwenye Hali Nzuri: Tunajali usafi na ubora wa magari yetu. +
Magari Ya Kukodi/ Car RentalsMagari Ya Kukodi/ Car Rentals
Contact for price
3 Feedbackview all
Report Abuse
Safety tips
  • Check Feedback to make sure the person is reliable
  • Agree on the scope of work and remuneration
  • Meet in person at a safe public place
frame_left.gif