Nyumba ya kupangisha ipo Kisiwani, Kigamboni. Mita 100 kutoka barabara ya lami ya kwenda kibada(Tungi road), Bajaj 500 mpaka ferry
Room 2 mojawapo Master, sebule, jiko ndani, public toilet, fence, luku binafsi, tiles, gypsum, Aluminum, Fan kwenye room, Parking ya kutosha,Ndani ya geti. Room ukubwa wa kutosha