Box Za Kuweka Vyakula Vya Ramadhan Tunatengeneza Na Kuprint Logo Yako
1/5
Dar es Salaam, Kinondoni, 1 day ago
10 views
Box Za Kuweka Vyakula Vya Ramadhan Tunatengeneza Na Kuprint Logo Yako
+1
KRAFT BOX TZ
Company Name
Store address
Dar es Salaam • Kinondoni
Kimara Korogwe, Morogoro Road
Ukiwa unatokea Ubungo ni kushoto stand ya Korogwe kwenye Bajaji za maji chumvi.
Open
• Mon, Tue, Wed, Thu, Fri, Sun, 09:00-19:00
Dodoma Region • Dodoma Rural
Dodoma Mjini
Tunatengeneza mabox na kuweka nembo yako kabisa kwa juu, tunajivunia kufanya kazi ya shirika la somuncu baba ,wao wamechukua box za kuweka vyakula vya sadaka kwa wahitaji.
box lina uwezo wa kuweka (kg 5 unga ,kg 5 mchele, kg 5 sukari , lita 1 mafuta , chumvi kg 1 ,chai kg 1).
tunapatikana kimara korogwe stand
mikoani tunatuma kila siku.
.
< watusmart>
•design •printing •branding •signage
_______________
tunaprint t-shirts,polo,kofia shirts,apron,overall,staff tshirts,caps,uniform,form six,mifuko ya aina yote and other branding materials kwa screen printing pamoja na embroidery (kudarizi)
_______________ .