Mashine Hii n nzuri kwa ajili ya matumizi ya ofsini,shuleni,hospital pamoja na bank.mafundi wenye weredi na Nazi wapo,mashine Ina warranty,wino wake kuanzia 60k,spare Zake zinapatikana,tunafanya delivery kwa wateja waliopo Dar es salaam na wale Wa mikoani tunakupelekea mashine mpaka cargo bure,installation ni bure.
KARIBUNI SANA