Mashine n nzurii sana kwa ajili ya matumizi ya stationary na ofisini,ina print page 40 kwa dakika,inascan page 40 kwa dakika,inacopy page 40 kwa dakika,inaprint kwa simu,inageuza karatasi(2 sided),inaprint kwa flash,inascan kwa flash,ina wireless,wifi. Mafundi wenye weredi na kazi wapo na mashine zote zina warranty na spea zake zinapatikana.