Mashine ni nzuri kwa kazi kubwa inaprint page 75 kwa dakika,inacopy page 75 kwa dakika,inascan page 75 kwa dakika,Dublex,2 sided,ina tray 4 pamoja na by pass ,A3,A4,A5, na 4x6 size.ina print passport size na calender. Mashine zina warranty, mafundi wenye weredi wapo,usafiri ndani ya Dar n bure,installation bure ata ukiwa mkoani,kwa wale mikoani mzigo tunatuma mpaka cargo bure... ,mikoani tunatuma pamoja na nchi jirani kwa gharama za mteja.