Mashine inaprint page 54 kwa dakika,inascan page 54 kwa dakika,inacopy page 54 kwa dakika,inaprint kwa simu,inageuza karatasi (2 sided) ina Adf feeder, ina ethernet port, usb port na wifi. Inaprint calendar,inaprint karatasi ngumu,mashine ni nzuri kwa kazi za rangi.Wino wake kuanzia 100k.Ofa zetu box tunafunga bure, usafiri ndani ya Dar n bure,wale wa mikoani tunatuma mpaka kwenye cargo bure, installation n bure ata ukiwa mkoani na mafundi wenye weredi wapo pia mashine zote zina warranty.