Mashine ina warranty, inaprint page 30 kwa dakika,inacopy page 30 kwa dakika,inascan page 30 kwa dakika,inageuza karatasi (2 sided),ina Adf feeder, ina usb port,ethernet port na wifi.Mafundi wenye weredi na kazi wapo,usafir ni bure ndani ya Dar kwa wale wa mikoani tunatuma mpaka kwenye Cargo bure.