Mashine ina warranty,inacopy page 18 kwa dakika,inascan page 18 kwa dakika,inaprint page 18 kwa dakika,ina print kwa simu,inageuza karatasi(2 sided),ina Adf feeder, ina tray 2 pamoja na by pass,ina usb port,ethernet port na wifi.Wino wake kuanzia 20k ,mafundi wapo wenye weredi na kazi,tunatuma mikoa yote na nchi jirani kwa gharama za mteja .