Mashine nzuri sana inaprint page 50 kwa dakika,inacopy page 50 kwa dakika,inascan page 50 kwa dakika,inaprint kwa simu,inageuza karatasi(2 sided),ina print kwa flash,inascan kwa flash,ina wireless,wifi spea zake zinapatika kwa bei rafiki kwa wateja wetu walioko Dar es salaam. Usafir n bure na kwa wale wateja wetu wa mikoani tunatuma hadi cargo bure.Tuna mafundi wenye weredi na kazi.