Mashine ni used kutoka ujerumani mashine zina kuwa na counter ndogo yani zimefanya kazi kwa muda kidogo na uwezo wake una weza kuitumia kwa muda mrefu sana
-mashine ni ya color ina print Color pamoja na black and white
-ina geuza karatasi
-inatoa copy 25 kwa dakika moja
-ina bypass
-ina uwezo wa kuunganishwa na kifaa chako kama computer
-ni rahisi kutumia na ni gharama nafuu
kwa wateja mliopo mikoani mizigo tuna tuma kwa uaminifu mkubwa au kama una mtu dar bhasi afike ofsini kwetu ... karibu sana
USAFIRI NI BURE TANZANIA NZIMA