Turo abrasive tools company, tunauza welding machine kuanzia mma250 hadi mma500, tunapatikana mwenge dar es salaam, kwa hapo chini naandika bei welding machine yenye mma250, na itoboa bati la kuanzia mm1-mm10, lakini hii ndo mashine ndogo kabisa tuliyo nayo hizo zingine ni kubwa naziorodhesha hapa; mma285,mma315,mma400 na mma500, hizi ndo mashine tulizonazo na tunauza kwa bei za jumla na rejareja, hapo chini naandika bei ya rejareja ila ukihitaji kwa bei za jumla tunaanzia 5pcs kwa aina moja utapata kwa bei ya jumla, bidhaa zetu ni bora na brand yetu mpya kabisa,, ambayo ni turo, karibuni sana turo tools to the world, kwani tuna bidhaa zote za mashine kwa brand yetu bora na bei zetu ni nafuu kabisa.
tunapatikana mwenge dar es salaam, coca-cola road, for free delivery mpaka hapo ulipo mteja wetu.