Online orders & delivery 🚚
Mikoa yote Tanzania mzigo wako unapata kwa uaminifu mkubwa
Closed now
• Mon - Sun, 09:00-18:00
Taa hizi kwa jili ya kufunga barabarani au njiani au shambani au kiwandani
Taa ina better imara sana na ina mwanga mkali sana
Karibu sana taa zipo chache