Taa Ya Solar Yenye Kutumika Sehemu 3 Tofauti Utumie Wapi
1/3
+1
1
Promoted
Dar es Salaam, Kinondoni, 1 hour ago
4 views
Taa Ya Solar Yenye Kutumika Sehemu 3 Tofauti Utumie Wapi
Solar Lights
Type
80watts
Light Power
12V
Input Voltage
Brand New
Condition
Store address
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar es salaam
Online orders & delivery 🚚
Mikoa yote Tanzania mzigo wako unapata kwa uaminifu mkubwa
Open now
• Mon - Sun, 09:00-18:00
Unaweza kutumia TAA Kwenye sehemu 3
Ya kwanza garden unaweza kutumia kama garden light
Ya pili unaweza kuitumia kama Fance light
Ya tatu unaweza kutumia kama get light mambo ya getini
Kwenye matumizi ya sehemu zote izo unaweza kutumia rimont kuchagua taa iwake mwanga wa aina gani kulingana na wewe unavyo taka
ina mwanga wa blue,white, red, warm light
Taa inatumia SOLAR tu na wala aingii maji ni nyepesi kuifunga
inawaka kwa saa 12
Delivery tunafanya