Taa ya Solar HP-S02C 100W Mwanga mkali bila umeme
Bei: 95,00
Delivery tunafanya popote Tanzania
Taa hii ya solar inatoa mwanga mkali sana, haina gharama za umeme, na ni rahisi kufunga. Inakuja na remote control, sensor ya mwili, na betri yenye uwezo mkubwa.
Power 100W