Taa nzuri sana kwajili ya eneo la nyumba yako ili kuepuka giza kipindi cha usiku unaweza kufunga taa za kijanja kabisa na eneo la nyumba yako likawa salama kabisa na kuepukana na tatio la kukatika kwa umeme mara kwa mara sio nyumbani peke bali ata kwenye sheli unaweza kufunga hospital, kiwandani, shambani kiwanja cha michezo taa inafaa na inamwanga mkubwa sana taa inatumia solar yake ya moja kwa moja na better yake inachukua masaa 12 ya charge na masaa 12 kuwaka taa aingii maji ni waterproof agiza taa zako za kutosha mikoami tunatuma