Super Wide Angle LED Solar Street Light 2000w
Hii ni taa ya kisasa ya solar yenye mwanga mkali sana kwa matumizi ya barabarani, kwenye nyumba, mashambani, na sehemu za biashara bila kuhitaji umeme.
Sifa Kuu:
Nguvu ya Mwanga: 2000W (≈ 30,000 Lumens)
Betri: LiFePO4 Battery yenye uwezo mkubwa
Kuchaji: Masaa 8–10 kwa mwanga wa jua
Muda wa Kuwaka: Masaa 12–16 bila kusimama
Ukubwa wa Taa: 920mm x 340mm
Urefu wa kufunga: 4m – 6m
Imara & Imethibitishwa IP67: Haipitishi maji, inadumu mvua na jua
Remote Control: Rahisi kuwasha, kuzima na kudhibiti modes
Warranty: Mwaka 1
Bei ya Promosheni: 247,599 TZS
Delivery inapatikana nchi nzima
Mawasiliano071XXXXXXX