Umechoka na kero ya kukatika kwa umeme?
Katika video hii, tunakuonyesha uwezo wa Alpha ESS-300W Power Station. Hiki ni kifaa kidogo kinachoweza kuwasha TV, feni, laptop, na taa kwa saa nyingi sana bila kelele wala moshi.
Mchanganuo wa haraka:
Smart TV: Masaa 15 - 18.
Feni: Masaa 18 - 20.
Simu: Mara 60+.
Inachajiwa na: Solar Panel au
Umeme wa Tanesco.
Sifa za Kiufundi:
Capacity: 896Wh (Betri kubwa ya 280Ah).
Output: 300W (Inverter imejengwa ndani).