Online orders & delivery 🚚
Mikoa yote Tanzania mzigo wako unapata kwa uaminifu mkubwa
Closed now
• Mon - Sun, 09:00-18:00
Ium Battery CWORTH ENERGY CE-GCL-12100
ni betri ya kisasa yenye uwezo mkubwa wa kuhifadhi nishati ya umeme kwa matumizi ya solar, mashine ndogo, na vifaa vya nyumbani au biashara.
Capacity (Kapasiti): 1.28KWh
Voltage (Volti): 12.8V
(range 12V–14.4V)
Ah (Ampere-Hour): 100Ah
Output Power ya kawaida: 640W
Output Power ya juu (Max): 1280W
Uzito: 17kg
Warranty: Miaka 2