Ad is archive
find similar ads in Electrical Equipment in Kinondoni

• Archive: Gate Motor

Archive: Gate Motor

Kinondoni, Dar es Salaam, Tanzania
Brand New
Condition
Other
Type
Archive: Gate motor.
Epuka adha ya kushuka kwenye gari na kwenda kufungua geti hasa wakati wa mvua na usiku.
Huna haja kupiga honi tena ukifika kwako, huna haja ya mtu wa getini tena , huna haja ya kutumia tena kufuli kwenye geti lako, huna haja tena ya kuamsha mtu usiku akufungulie geti .
Kwa rimoti yako tu (single touch) unayafanya yote haya . Ukifunga na rimoti huna haja ya kurudi tena getini.
Matumizi ya umeme ni kidogo sana (energy saving) motor iko kwenye mfumo wa dc
mashine ni bora na imara kutoka south africa .
Hii inaifanya gate lako kuwa automatic, utaweza ku control gate lako kwa kutumia remote kwa umbali wa mita 100
endapo umeme utakatika geti lako linaweza kuendelea kufanya kazi kwa siku tatu zaidi . Pia kuna option ya kulirudisha manual na kuendelea kutumia kawaida
tunakufanyia installation ya gate motor kwenye gate lako kwa gharama sh milioni moja na laki nne tu .
tupo mbezi beach - makonde
na tegeta namanga{phone=0710201330}
nitext whatsapp kwa video
• Archive: Gate Motor
• CLOSED
Deleted User
Last seen 2 days ago

Similar adverts