Uwezo: 100W (Mwanga mkali sana na mweupe)
Brand: JD (Jindian) Original
Hali ya Hewa: IP65 Waterproof (Haipenywi na mvua au jua)
Mfumo: Automatic (Inawaka yenyewe usiku, inazima na kuchaji asubuhi)
Uhakika: Bidhaa Mpya kwenye box
WARRANTY: Mwaka 1 (1 Year Warranty)