Taa ya solar ya barabarani 100w (all-in-one)
model: es-ytdc-100
• solar panel: nk-140
• battery: lifepo4 96wh
• power: 120w
• colour temperature: 6000k ±5%
• working temperature: -20°c hadi 60°c
mfumo wa all-in-one, hakuna nyaya za ziada
huwaka yenyewe usiku na kuzima mchana kuchaji
motion sensor huongeza mwangaza mtu au gari likipita
betri ya lithium lifepo4 yenye maisha marefu
inafaa kwa barabara, viwanja, mageti, uzio na maeneo ya biashara
mwanga mkali wa 6000k kwa usalama wa eneo lako