Hii ni bei ya Inche mbili hutumika kusafirisha maji kutoka kwenye pump kwenda shambani, kutumika kwenye irrigation systems kama sprinkler na drip, kumwaga maji kwenye mashamba makubwa na kurahishisha shughuli zote za umwagiliaji kwa maeneo mengi makubwa.