tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Repair & Construction
  3. Plumbing & Water Systems
  4. Water Treatment Plumbing & Water Systems
Dar es Salaam, Kinondoni, 16 hours ago
1 views

FRP Tank for Water Treatment Machines -3072

Other
Brand
Water Filters
Type
Brand New
Condition
frp tanks – suluhisho bora kwa mfumo wako wa water treatment! je, unahitaji mfumo imara na wa kuaminika wa kuchuja na kutibu maji? frp tanks ni mitungi inayotumika kwenye mifumo ya water treatment kuhifadhi vifaa vya kuchujia maji kama: sand media – kusaidia kuondoa uchafu na chembechembe kwenye maji. activated carbon – kupunguza harufu, rangi na baadhi ya kemikali kwenye maji. resin – kupunguza ugumu wa maji (hard water) kwenye mfumo wa water softener. iron removal media – kusaidia kuondoa madini ya chuma kwenye maji. kwanini uchague frp tanks? hazishiki kutu kirahisi. zinadumu na ni rahisi kuzifanyia matengenezo. zinapatikana kwa ukubwa mbalimbali kulingana na mahitaji yako. zinafaa kwa mifumo ya majumbani, biashara na viwandani. wasiliana nasi071XXXXXXX
Show contact
TSh 3,300,000
Negotiable
Report Abuse
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • Inspect the item and ensure it's exactly what you want
  • Make sure that the packed item is the one you've inspected
  • Only pay if you're satisfied
frame_left.gif