Hii ni bei ya Inche tatu nzuri kwa umwagiliaji wa mazao kama mahindi mpunga ngano maharage vitunguu miche ya miti nakadharika kwa sababu ina pressure nzuri ya maji na rahisi kukunja na kubebwa kwa sababu ni nyepesi na flexible pia hutumika kwenye construction kutoa maji au kuondoa maji sehemu yenye maji mengi.