Huu ni mpira wa maji mara nyingi hutumika kusafirisha maji kutoka kwenye pump kwenda shambani, kutumika kwenye greenhouse na irrigation system kama sprinkler na drip, humwaga maji kwenye mashamba makubwa na kutumika kwenye construction kutoa maji au kuondoa maji sehemu yenye maji mengi.