je, unajua ubora wa maji unayotumia?
digital water quality tester (ble-9908)
pima na kufahamu ubora wa maji yako kwa kutumia kifaa hiki cha kisasa chenye uwezo wa kupima:
tds – kiwango cha madini na chumvi zilizoyeyuka kwenye maji.
ec – uwezo wa maji kupitisha umeme.
ph – kiwango cha asidi au alkali kwenye maji.
temp – joto la maji.
rahisi kutumia
kinafaa kwa wataalamu wa water treatment
kinafaa kwa ukaguzi wa mifumo ya ro na uchunguzi wa awali wa maji
usikisie ubora wa maji, pima kwanza!
kwa oda na maelezo zaidi071XXXXXXX