16 mm Mini Valve siyo tu kufunga na kufungua maji ni controller, protector, balancer, Tester, Emergency tool ndio maana kwenye irrigation ya kisasa kila block inashauriwa iwe na mini valve yake ili kusaidia kuandaa future expansion hata kama bado hujaunganisha line bila kubadilisha mian line.